YAANI WANAWAKE TU NDIO WENYE:
1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!!π£π£
Tuhurumie Babaππ
2. Ako na furushi la nguo kwa nyumba lakini hanaga kitu ya kuvaa mkienda mahali!!ππ
Tuonekanie Babaππ
3. Anakasirika ukikosa kumtumia text ya good nyt lakini yeye akikosa we unafaa ku understand!!ππ
Waelewe Babaππ
4. Ako na viatu pair kama 50 lakini hanaga viatu za kuvaa akienda church!!ππ
Mungu wasameheππ
5. Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tano na unafaa kumngoja hizo masaa zote!☺☺
si kupenda kwao Babaππ
6. Akienda salon anakaa kutoka asubuhi mpaka jioni na unafaa kumngoja pia na usilalamike!!ππ
Tupe moyo Babaππ
7. Ako na mafuta different ya kujipaka mikono, shingo, kisogo miguu, mpaka kisigino!!ππ
Mungu ni wewe uyajuaye hayaππ
8.Mnaachana asubuhi akiwa na furaha,na ukirudi jioni amenuna hataki hata kukusalamia,ππ
tupe uvumilivu bwana.ππ
9. Anatry kumatch nguo na earrings na akiona hazifanani anatoa nguo instead ya earrings....ππ
teremka uwashike na mikono yako baba..ππ
10.Mkitembea kwa rodi unakaa side ya baro ndo asigongwe na gari.wwe ukigongwa haina noma,π₯π₯
weka roho yetu mahali pema peponi baba.
ππ¦π¦
Thats a man complaining.
Comments
Post a Comment